WAANDISHI wa habari jijini hapa wametakiwa kujikita kwenye uandishi wa habari za madini ili kuimarisha na kutetea demokrasia , uwajibikaji na utawara bora katika masuala ya na sekta ya madini na uwekezaji. Katika kuhakikisha hilo linafanyika kwa ufanisi Shirika la Action for Democracy and Local Government (ADLG) limetoa mafunzo kwa wanahabari ili kutoa elimu kwa […]