WAANDISHI wa habari jijini hapa wametakiwa kujikita kwenye uandishi wa habari za madini ili kujinyakulia tuzo za umahiri zinazotolewa kila mwaka na baraza la habari nchini (MCT). Hatua hiyo imekuja baada ya kutokuwa na mwandishi mahiri  kanda ya ziwa aliepata tuzo ya masuala ya madini huku kanda hiyo ikiongoza kwa  migodi hapa nchini. Aidha Mafunzo […]