Na George Binagi-GB Pazzo wa BMGHabari.com Waandishi wa Habari za Madini Kanda ya Ziwa wamejizatiti kuandika zaidi habari na makala kuhusiana na sekta hiyo ili kuibua masuala mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla. Wakizungumza jana Jijini Mwanza kwenye kikao cha majumuisho ya ziara yao walioifanya kwa siku mbili kuanzia Julai […]