WAKAZI wa kijiji cha Kakola na Bushing’we wa Halmashauri ya Msalala Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga, wamelalamikia Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu kutotoa ajira kwao na badala yake kuwapatia wageni ajira ambazo hata wao wanaweza kuzifanya. Hayo yamebainishwa na wakazi hao wakati wa ziara ya kuwajengea uwezo wananchi wanaoishi karibu na uwekezaji wa migodi […]