Wakazi wa mtaa wa Nyamalembo mjini Geita wamemuomba Mbunge wa Geita mjini Bw Constantine Kanyasu kuingilia kati tatizo lao la muda mrefu la kutolipwa fidia na mgodi wa dhahabu wa GGM na kunyimwa nafasi ya kufanya shughuli za kilimo kwa madai kuwa wako kwenye eneo la mgodi hali inayoendelea kuwarudisha nyumba kimaendeleo. Wakizungumza kwenye mkutano […]