Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Mhe.Miraji Mtaturu ametoa onyo kali kwa bodi ya uongozi wa Chama cha Ushirika cha wachimbaji wadogo wa dhahabu cha Aminika kilichopo kijiji cha Mang’onyi wilayani humo kutokana na kuendesha chama hicho kiholela. Mhe.Mtaturu alitoa onyo hilo jana Agosti 18,2017, alipokutana na wanachama pamoja na uongozi wa chama hicho […]